Departamentos

Oferta de

Kisiwa cha Minawe (English Edition)

Mais ofertas de Generico

por

R$ 24,00

* Confira sempre o valor atualizado antes de efetuar a compra.

Mais informações da Oferta

Kisiwa cha Minawe (English Edition)

Kisiwa cha Minawe ni riwaya iliyoandikwa na Mary Ambi. Riwaya hii inaangazia maisha na changamoto za kijamii, siasa na gharama ya maisha wanazopitia watu wanaoishi kisiwani Minawe. Mhusika mkuu ni Ogada, kijana tajiri lakini mwenye kujinyima na kuwa na uhusiano mwema na watu wa mapato ya chini kiasi cha kwamba, hata ingawa ni mgeni kisiwani Minawe, amefanikiwa kuelewana na watu wa dini mbili zinazotofautiana: wakristo na waislamu.
Katika maisha ya dhuluma na unyanyasaji, Ogada anaongoza watu wa mtaa wa Makongo anakoishi katika maandamano ya amani wakati wa mazishi ya Mama Maria, aliyefariki baada ya kanisa lao kulipuliwa katika kile kilichodaiwa kuwa uhasama wa kidini. Huu unakuwa mwanzo wa Ogada kuchukua jukumu la kuongoza wana wa Minawe kupigania haki zao.

***

Kisiwa cha Minawe is a Swahili novel written by Mary Ambi. The novel is a fictional story that highlights the social, economic and political life of the people of Minawe, a small Island. The main character is Ogada, a young, rich but down to earth man whom even though a foreigner in the land, has won the hearts of many from both the conflicting religions; Christianity and Islam.
Living in a corrupt society, where political leaders use the systems of government to exploit its people, Ogada begins by leading his people (Mtaa wa Makongo) in a peaceful demonstration during the burial of Mama Maria who died in what was allegedly believed to be a religious conflict between the Islamic and Christian believers. This marks the beginning of his mission to fight for justice and to uncover the truth about the religious conflicts.

Mais sobre este produto

Kisiwa cha Minawe (English Edition)

R$ 24,00

* Confira sempre o valor atualizado antes de efetuar a compra.